Habari za Punde

BASHUNGWA ATEULIWA KUWA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KARAGWE.

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa (kulia) akikabidhiwa barua ya kuteuliwa kuwa mgombea kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo la Karagwe kwa nafasi ya Ubunge na Godwin M. Kitonka ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Karagwe, Agosti 25, 2020
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa (kulia) akionyesha barua ya kuteuliwa kuwa mgombea kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo la Karagwe kwa nafasi ya Ubunge, baada ya kukabidhiwa barua  hiyo na na Godwin M. Kitonka ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Karagwe
 (Picha na Eliud Rwechungura)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.