Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi CP
Liberatus Sabas, akiongea na Waandishi wa Habari njee ya Kituo cha Polisi
Tunduma kabla ya kwenda kukagua eneo yalipotokea mauaji ya mtu mmoja katika Halmashauri
ya Mji wa Tunduma kwenye Ofisi ya Mtendaji Kata ya Mwaka Kati.
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo
ya Jeshi la Polisi CP Liberatus Sabas wa kwanza kulia akiwa na Kamanda wa Mkoa wa
Songwe RPC George Kiando pamoja na Maafisa
wengine wamewasili katika Ofisi ya Mtendaji Kata ya Mwaka Kati kwaajili ya
ukaguzi na kuona eneo ambalo wafuasi wa Chadema waliposaabisha mauaji ya mtu
huyo.
(Picha na Jeshi la Polisi)
No comments:
Post a Comment