Habari za Punde

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mhe. Dkt John Pombe Magufuli Ameongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Kinachofanyika Jijini Dodoma leo 20/8/2020.

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli na (kulia kwa Rais) Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na (kushoto kwa Rais) Katiba Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally, wakiwa katika ukumbi wa mkutano wa jengo la White House Jijini Dodoma, baada ya kuwasili katika ukumbi
WAJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakiwa wamesimama wakati Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo pichani) akiwasili katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma, kuongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo 20-8-2020, wa kwanza kulia Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid na Mhe. Mizengo Pinda. 
WAJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakiwa wamesimama wakati wa kuwasili kwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo pichani) katika ukumbi wa White House kuongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Jijini Dodoma
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally akizungumza  kabla ya kumkaribisha Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli, kufungua Kikao cha Halmashauri  Kuu ya CCM Taifa, kinachofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma
MWENYEKITI  wa Chama cha Mapinduzi  na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli  akitete jambo na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakiwa katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma, wakati wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli  akizungumza wakati akifungua Kikao cha Halmashauriu Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma. 
WAJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi  na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo pichani)  akifungua  Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma leo 
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, kinachofanyika katika ukumbi wa White House Jijinin Dodoma na kulia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein
WAJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, wakishangilia wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma, Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo pichani) akihutubia katika ufunguzi wa Kikao hicho kilichofanyika leo 20/8/2020

WAJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi  na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo pichani)  akifungua  Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma leo 

WAJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi  na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo pichani)  akifungua  Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma leo. 
WAJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi  na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo pichani)  akifungua  Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma leo 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.