Habari za Punde

Watanzania waliohitimu udaktari Cuba waanza kurudi nchini

Kundi la kwanza la Watanzania waliohitimu udaktari nchini Cuba linasafiri leo kurejea nchini. Watasafiri na ndege maalum ya Ufaransa hadi Paris, baadaye na Ethiopia Airline hadi Dar. Kundi la pili litasafiri tar. 4 Sept. 2020. Wahitimu hao walikwama Cuba kwa sababu ya Corona.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.