Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha
Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akizungumza na wananchi waNyamirembe Chato mkoani Geita
Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha
Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kashalunga Muleba mkoani Kagera leo
tarehe 15 Septemba 2020 katika Mikutano ya Kampeni za CCM
Wananchi wa Nyambirembe na Kashalunga Muleba
mkoani Kagera wakishangilia mara baada ya Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya
Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli kuwasili katika maeneo hayo kwa ajili ya mikutano ya
Kampeni za CCM leo tarehe 15 Septemba 2020
Wananchi wa Nyambirembe na Kashalunga Muleba
mkoani Kagera wakishangilia mara baada ya Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya
Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli kuwasili katika maeneo hayo kwa ajili ya mikutano ya
Kampeni za CCM leo tarehe 15 Septemba 2020.
No comments:
Post a Comment