Habari za Punde

Mkutano wa Kampeni Mgombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano waTanzania Mhe,John Magufuri Urambo leo.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Urambo mkoani Tabora katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika Urambo mjini leo tarehe 21 Septemba 2020.

Sehemu ya Wananchi wa Urambo mjini wakimsikiliza Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano wa Kampeni za CCM zilizofanyika Urambo mjini mkoani Tabora leo tarehe 21 Septemba 2020.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.