Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk Shein Aongoza Wananchi wa Jijini la Zanzibar Katika Maziko ya Mgombea Ubunge Jimbo la Mpendae CCM Marehemu Salim Hassan Abdallah Turky (Mr.White)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein akiitikia dua ya kuhitimisha kisomo cha hitma kumuombea aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mpendae na Mgombea Ubunge jimbo hilo Marehemu Salim Hassan Abdallah Turky (Mr.White) ikihitimishwa katika Masjid Noor Mahammed Kwamchina Jijini Zanzibar, (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Omar Saleh Kabi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na Rais Mstaaf wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Alhajj Ali Hassan Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Mtoto wa Marehemu Tofiq Salim Turky, Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Hassan Othman Ngwali na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Alhajj Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakiitikia dua baada ya kisomo cha hitma.
Ustadhi Kizoto akihitimisha hitma ya kumuombea Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mpendae  kwa tiketi ya CCM Marehemu Salim Hassan Abdallah Turky (Mr.White) iliofanyika katika Masjid Noor  Mahammad Kwamchina Jijini Zanzibar. 
Viongozi wa Serikali, Vyama vya Siasa na Wananchi wakiitikia dua ya kuhitimisha kisomo cha hitma kumsomea aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mpendae CCM na Mfanyabiashara maarufu Zanzibar Marehemu Salim Hassan Abdallah Turky (Mr.White) iliofanyika katika Masjid Norr Mohammad Kwamchina Jijini Zanzibar.

Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali akitowa mawaidha wakati wa hafla ya maziko ya aliyekuwa Mbunge wa Mpendae na Mgombea Ubunge wa jimbo hilo marehemu Salim Hassan Abdallah Turky (Mr. White) yaliofanyika katika Masjid Noor Mohammad Kwamchina Jijini Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed akitowa salamu za Serikaliu wakati wa hafla ya Sala ya kuuombea dua mwili wa marehemu iliofanyika katika Masjid Noor Mohammad Kwamchina Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein, akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Sala ya kuusalia mwili wa Marehemu Salim Hassan Abdalla Turky (Mr.White) iliofanyika katika Masjid Noor Mohammad Kwamchina Jijini Zanzibar.na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto kwa Rais) Mtoto wa Marehemu Tofiq Salim Turky, Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Hassan Othman Ngwali na Makamu wa Rais Mstaaf wa Tanzania. Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakijumuika katika Sala ya kuusalia mwili wa marehemu aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mpendae Jijini Zanzibar
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakishiriki katika Sala ya kumuombea aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mpendae Zanzibar CCM Marehemu Salim Hassan Abdallah Turky (Mr.White) baada ya kumalizika kwa kisomo cha hitma kilichofanyika katika Masjid Noor Mohammad Kwamchina Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein, akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Omar Saleh Kabi, baada ya kumaliza kuusalia mwili wa Marehemu Salim Hassan Abdallah Turky, iliofanyika katika Masjid Noor Mohammad Kwamchina Jijini Zanzibar,na (kulia kwa Rais)Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto kwa Rais) Mtoto wa Marehemu Tofiq Salim Turky, Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Hassan Othman Ngwali na Makamu wa Rais Mstaaf wa Tanzania. Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Mhe. Dk. Hussein Mwinyi, wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar, baada ya kumalizika kwa Sala ya Maiti iliofanyika katika Masjid Noor Mohammed Kwamchina
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein, akitowa mkono wa pole kwa Watoto wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mpendae Jijini Zanzibar (CCM) Marehemu Salim Hassan Abdallah Turky (Mr.White) baada ya kumaliza kuusalia mwili wa marehemu  katika Masjid Noor Mohammad Kwamchina Jijini ZanzibarWAUMINI WA Dini ya Kiislam na Wananchi wa Jijini la Zanzibar wakishirikia katika maziko ya aliyekua Mbunge wa Jimbo la Mpendae Zanzibar Marehemu Salim Hassan Abdallah Turky (Mr. White) yaliofanyika katika makaburi ya Fuoni Kijitoupele Wilaya ya Magharibi “B” Unguja

WAUMINI WA Dini ya Kiislam na Wananchi wa Jijini la Zanzibar wakishirikia katika maziko ya aliyekua Mbunge wa Jimbo la Mpendae Zanzibar Marehemu Salim Hassan Abdallah Turky (Mr. White) yaliofanyika katika makaburi ya Fuoni Kijitoupele Wilaya ya Magharibi “B” Unguja

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka mchanga katika kaburi, baada ya kuwekwa mwili wa Marehemu Salim Hassan Abdallah Turky (Mr.White) yaliofanyika katika makaburi ya Fuoni Kijitoupele Jijini Zanzibar.
RAIS Mstaaf wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Alhajj Ali Hassan Mwinyi , akiweka mchanga katika kaburi, baada ya kuwekwa mwili wa Marehemu Salim Hassan Abdallah Turky (Mr.White) yaliofanyika katika makaburi ya Fuoni Kijitoupele Jijini Zanzibar.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi, akiweka mchanga katika kaburi, baada ya kuwekwa mwili wa Marehemu Salim Hassan Abdallah Turky (Mr.White) yaliofanyika katika makaburi ya Fuoni Kijitoupele Jijini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.