Habari za Punde

Ufunguzo wa Kongamano Maalum la Wanawake Zanzibar "Umoja Wetu Wanawake Ndio Nguvu Yetu"

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein mgeni maalum katika hafla ya Kongamano Maalum la Wanawake lililoandaliwa na Umoja wa Wake wa Viongozi kwa kushirikiana na UWT "Umoja Wetu Wanawake Ndio Nguvu Yetu" akiwa na Viongozi wa meza kuu baada ya kuwasili katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani Jijini Zanzibar, (kushoto kwa Mama Shein) Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mhe. Gaudentia Kabaka, Makamu Mwenyekiti UWT Mhe. Thuwaybah Editon Kisasi na Mke wa Makamu wa Rais Mstaaf Mama Zakia Bilal na (kulia kwa Mama Shein) Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif na Naibu Katibu Mkuu UWT Zanzibar.Bi. Tunu Kondo. 
Wajumbe wa Kongamano Maalum la UWT "Umoja Wete Wanawake Ndio Nguvu Yetu" wakiwa wamesimama wakati wa kuwasili kwa Mgeni Maalum Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (hayupo pichani) wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani Jijini  Zanzibar.
Wajumbe wa Kongamano Maalum la UWT "Umoja Wete Wanawake Ndio Nguvu Yetu" wakiwa wamesimama wakati wa kuwasili kwa Mgeni Maalum Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (hayupo pichani) wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani Jijini  Zanzibar. Lililoandaliwa na Umoja wa Wake wa Viongozi kwa kushirikiana na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) 
Naibu Katibu UWT Zanzibar Bi. Tunu Kondo akisoma maelezo  ya ufunguzi wa Kongamano maalum la Umoja wac Wanawake Tanzania lililofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani Jijini Zanzibar lenye kauli mbiu "Umoja Wetu Wanawake Ndio Nguvu Yetu" .lililoandaliwa na Umoja wa Wake wa Viongozi na UWT Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania.Mhe. Tuwaybah Editon Kisasi akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kongamano Maalum la Wanawake wa UWT "Umoja Wetu Wanawake Ndio Nguvu Yetu" lililofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani Jijini Zanzibar. 
Mwenyekiti wa Umoja wa Wake wa Viongozi Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi akiwatambulisha Wake wa Viongozi, wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa Kongamano Maalum la Wanawake "Umoja Wetu Wanawake Ndio Nguvu Yetu" lililoandaliwa na Umoja wa Wake wa Viongozi kwa kushirikiana na UWT Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani Jijini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania Mhe. Gaudentia Kabaka akilifungua Kongamano Maalum la Wanawake wa UWT Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Kichama Amani Jijini Zanzibar, likiwa na kauli mbiu "Umoja Wetu Wanawake Ndio Nguvu Yetu" lililoandaliwa na Umoja wa Wake wa Viongozi kwa kushirikiana na UWT Zanzibar.
Mgeni Maalum wa Kongamano Maalum la Wanawake wa UWT Zanzibar Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akihutubia na kulifungua Kongamano hilo likiwa na kauli mbiu yake"Umoja Wetu Wanawake Ndio Nguvu Yetu" lililofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Kichama Amani Jijini Zanzibar. (kulia kwa Mama Shein) Mwenyekiti wa Umoja wa Wake wac Viongozi Mama Asha Suleiman Iddi na (kushoto kwa MamaShein) Mwenyekiti wa UWT Mhe. Gaudentia Kabaka na Makamu Mwenyekiti wa UWT. Mhe Thuwaybah Editon Kisasi.
Wajumbe wa Kongamano Maalum la Wanawake wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano hilo wakati Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein.(hayupo pichani) akihutubia katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Amani Kichama Jijini Zanzibar.
Wajumbe wa Kongamano Maalum la Umoja wa Wanawake Tanzania wakishangilia wakati wa ufunguzi huo Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (hayupo pichani) akihutubia katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani Jijini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania Mhe. Gaudentia Kabaka akimtambulisha Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi alipowasili katika ukumbi wa na (kulia kwa Mgombea) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Umoja wa Wake wac Viongozi Mama Asha Suleiman Iddi. 
Wajumbe wa Kongamano Maalum la Wanawake Zanzibar wakishangilia wakati wa kuwasili kwa Mgombea Urais wa Zanzibar kupitika Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Mwinyi katika ukumbi wa Kongamano Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Kichama Amani Jijini Zanzibar. 
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitika Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Mwinyi akizungumza katika Kongamano Maalum la Wanawake katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Kichana Amani Jijini Zanzibar.
Wajumbe wa Mkutano Maalum wa Kongamano la Wanawake "Umoja Wete Wanawake Ndio Nguvu Yetu" lililofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Kichama Amani Jijini Zanzibar. wakifuatilia kongamano hilo. 
Wajumbe wa Kongamano Maalum la Wanawake Zanzibar wakishangilia wakati wa kuwasili kwa Mgombea Urais wa Zanzibar kupitika Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Mwinyi katika ukumbi wa Kongamano Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Kichama Amani Jijini Zanzibar. 
Waasisi wa Umoja wa Wanawake Tanzania wakifuatulia Kongamano Maalum la Wanawake Zanzibar lililoandaliwa na Umoja wa Wake wa Viongozi kwa kushirikiana na UWT Zanzibar. Kongamano hilo likiwa na kauli mbiu "Umoja Wetu Wanawake Ndio Nguvu Yetu" lililofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Kichama Amani Jijini Zanzibar.
Wajumbe wa Mkutano Maalum wa Kongamano la Wanawake "Umoja Wete Wanawake Ndio Nguvu Yetu" lililofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Kichama Amani Jijini Zanzibar. wakifuatilia Mada zinazowakilishwa katika kongamano hilo. 
Mtowa Mada kuhusiana na Mwanamke Kutokata Tamaa Heshima na Uzoefu Mhe.Balozi. Amina Salum Ali, akiwasilisha Mada yake kwa Wajumbe wa Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Kichama Amani Jijini Zanzibar.
Mtowa Mada kuhusiana na Amani na Utulivu Bi. Sharifa Abeid Salum, akiwasilisha Mada yake kwa Wajumbe wa Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Kichama Amani Jijini Zanzibar.
Mtowa Mada kuhusiana na Uzalendo na Mshikamano Katibu wa Idara ya Uenezi Zanzibar.Bi.Catherine Peter Nao, akiwasilisha Mada yake kwa Wajumbe wa Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Kichama Amani Jijini Zanzibar. 
Wajumbe wa Mkutano Maalum wa Kongamano la Wanawake "Umoja Wete Wanawake Ndio Nguvu Yetu" lililofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Kichama Amani Jijini Zanzibar. wakifuatilia Mada zinazowakilishwa katika kongamano hilo. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.