Habari za Punde

UONGOZI WA CCM MKOA KAGERA UMEFIKA HOSPITALI KUWAFALIJI WANAFUNZI WALIOUNGUA MOTO – KYERWA

Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi mkoa Kagera, Mama Costansia Buhiye(katikati), Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi wilya Karagwe, Roninson Mtafungwa (kushoto) na MNEC wa mkoa Kagera, Willibroad Mtabuzi(Kulia) Wameambatana kuwatembelea wanafunzi waliolazwa katika hospitali ya Nyakahanga kufatia  ajari ya kuungua moto bweni la shule ya msingi Isilamic (Byamungu), uliotokea usiku wa kuamkia leo. , Kyerwa, Kagera

Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi mkoa Kagera, Mama Costansia Buhiye (aliyevaa miwani) akiwa ameambatana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa Kagera wakitoa pole na kuwafaliji wazazi wa wanafunzi waliolazwa katika hospitali ya Nyakahanga kufatia  ajari ya kuungua moto bweni la shule ya msingi Isilamic (Byamungu), uliotokea usiku wa kuamkia leo, Kyerwa, Kagera, 
Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi mkoa Kagera, Mama Costansia Buhiye (aliyevaa miwani) akiwa ameambatana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa Kagera wakitoa pole na kuwafaliji wazazi wa wanafunzi waliolazwa katika hospitali ya Nyakahanga kufatia  ajari ya kuungua moto bweni la shule ya msingi Isilamic (Byamungu), uliotokea usiku wa kuamkia leo, Kyerwa, Kagera, Septemba 14, 2020

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.