Habari za Punde

Ufungaji wa Kampeni za CCM Zanzibar kwa Kumwanga Vipeperushi Vya Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe Dk Hussein Mwinyi.

NDEGE iliotayarishwa na Chama Cha Mapinduzi kwa ajili ya kurusha Vipeperushi vya Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Mwinyi ikitupa vipeperushi kwa Wananchi walioko katika viwanja vya Demokrasia na maeneo mengi ya Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.