Habari za Punde

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla Awasili Jijini Dodoma Kuhudhuria Ufunguzi wa Bunge la 12 la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kesho.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Dkt. Mahenge, mara  baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege Jijini Dodoma leo, kwa ajili ya kuhudhuria Ufunguzi wa Bunge la 12 la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania litakalofunguliwa kesho Jijini Dodoma na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli. 
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Hemed Suleiman Abdualla akisalimiana na Wafanyakazi wa Shirika la Ndege la ATCL , mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa ndege wa  Jijni Dodoma leo .

                                                    Picha na – OMPR – ZNZ.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.