Habari za Punde

KATIBU MKUU DKT BASHIRU ALLY AFUNGA SEMINA YA SIKU MBILI YA KAMATI ZA UTEKELEZAJI ZA JUMUIYA ZA CCM ,UVCCM,UWT NA WAZAZI LEO JIJINI DODOMA


Meza kuu ikiimba Nyimbo ya Chama mara baada ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dkt Bashiru Ally Kakurwa alipowasili katika Ukumbi wa Halmashauri kuu ya CCM Leo jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dkt Bashiru Ally Kakura akizungumza na Viongozi wa jumuiya za CCM Wakati wa kufunga Semina ya Siku mbili ya Viongozi wa Jumuiya zote za CCM iliyofanyika katika Ukumbu wa White House Jijini Dodoma
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Wa Chama Cha Mapinduzi Mwl Raymond Mwangwala akizungumza wakati wa Kuwasilisha taarifa mbalimbali za Jumuiya hiyo.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Komred Kheri D James akizungumza  Semina ya Siku mbili ya Viongozi wa Jumuiya zote za CCM iliyofanyika katika Ukumbu wa White House Jijini Dodoma

Washiriki Wasemina hiyo wakifuatilia
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania akizungumza katika  Semina ya Siku mbili ya Viongozi wa Jumuiya zote za CCM iliyofanyika katika Ukumbu wa White House Jijini Dodoma

Katibu wa Idara ya Oganaizesheni wa Chama cha Mapinduzi Ndg Pereila Silima akitoa ufafanuzi wa jambo katika  Semina ya Siku mbili ya Viongozi wa Jumuiya zote za CCM iliyofanyika katika Ukumbu wa White House Jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally Kakurwa (kulia) akimkabidhi kitabu Cha ilani ya CCM YA 2020-2025 pamoja na hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Komred Kheri James kwa niaba ya Viongozi wote wa UVCCM kwa ajili ya ufuatiliaji na usimamizi wa ahadi za CCM.
 Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally Kakurwa (kulia) akimkabidhi kitabu Cha ilani ya CCM YA 2020-2025 pamoja na hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake wa CCM  kwa niaba ya Viongozi wote wa UVCCM kwa ajili ya ufuatiliaji na usimamizi wa ahadi za CCM.
Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally Kakurwa (kulia) akimkabidhi kitabu Cha ilani ya CCM YA 2020-2025 pamoja na hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi wa CCM Komred Kheri James kwa niaba ya Viongozi wote wa UVCCM kwa ajili ya ufuatiliaji na usimamizi wa ahadi za CCM.
 (PICHA ZOTE NA UVCCM)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.