Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Azungumza na Viongozi wa CCM na Mabalozi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Akiwa Kisiwani Pemba Kwa ziara ya Siku Mbili.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Maryam Mwinyi wakiwasalimia Wananchi wakati akiwasili katika viwanja vya ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba kuzungumza na Viongozi wa CCM na Mabalozi uliofanyika leo.18-12-2020. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Gando Mhe.Salim Mussa Omar, aliowasili katika viwanja vya  ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba, wakati wa ziara yake ya Siku mbili Kisiwani Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa risala ya Viongozi wa CCM na Mabalozi wa CCM wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakati wa mkutano wake uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kaskazini Pemba Ndg. Mberwa Hamad Mberwa akizungumza kabla ya kumkaribisha Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, kuzungumza na Viongozi wa CCM wa Jumuiya za Chama  na Mabalozi wa CCM wakati wa mkutano wake na Viongozi hao uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Sadala (Mabodi) akizungumza wakati wa mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Viongozi wa CCM na Mabalozi uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa CCM wa Jumuiya za Chama na Mabalozi na kutowa shukrani zake kwao kwa kumchagua kuwa Rais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi oktoba 2020, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.

MUWAKILISHI wa Mabalozi wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba Ndg.Mussa Saleh Said (Kisinja) akizungumza kwa niaba ya mabalozi wa CCM wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakati wa mkutano wao na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipofika kutoa shukrani zake kwao katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Mabalozi wa CCM wa Mkoa wa Kaskazini Pemba baada ya kumaliza mkutano wake uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Mabalozi wa CCM wa Mkoa wa Kaskazini Pemba baada ya kumaliza mkutano wake uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba leo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.