WANAFUNZI wa Skuli ya Maandalizi Star Nursery School
iliyopo Kichungwani Chake Chake, wakiimba wimbo maalumu wa kuwakaribisha wageni
wakati wa mahafali ya 10 ya skuli hiyo, mahafali yaliyofanyika katika holi la
Polisi Madungu Chake Chake.(PICHA NA
ABDI SULEIMAN,PEMBA)
WANAFUNZI wa Skuli ya Maandalizi Star Nursery School
iliyopo Kichungwani Chake Chake, wakionyesha onyesho juu ya athari za ugonjwa
wa Corona, wakati wa mahafali ya 10 ya skuli hiyo, mahafali yaliyofanyika
katika holi la Polisi Madungu Chake Chake.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
WANAFUNZI wa Skuli ya Maandalizi Star Nursery School
iliyopo Kichungwani Chake Chake, wakiimba wimbo maalumu wa kisiwa cha Pemba
wakati wa mahafali ya 10 ya skuli hiyo, mahafali yaliyofanyika katika holi la
Polisi Madungu Chake Chake.(PICHA NA
ABDI SULEIMAN,PEMBA)
WANAFUNZI wa Skuli ya Maandalizi Star Nursery School
iliyopo Kichungwani Chake Chake, wakicheza wimbo wa kimasai kuashiria moja ya
tabaduni bora zilizopo Tanzania, wakati wa mahafali ya 10 ya skuli hiyo,
mahafali yaliyofanyika katika holi la Polisi Madungu Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
WANAFUNZI wa Skuli ya Maandalizi Star Nursery School
iliyopo Kichungwani Chake Chake, walioonyesha sanaa za mataifa mbali mbali
wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbali mbali wa serikali, akiwemo
Mkurugenzi wa Elimu ya Msingi na Maandalizi kutoka Baraza la Mji Chake Chake
Makame Pandu Khamis, wakati wa mahafali ya 10 ya skuli hiyo, mahafali
yaliyofanyika katika holi la Polisi Madungu Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
WANAFUNZI wa Skuli ya Maandalizi Star Nursery School
iliyopo Kichungwani Chake Chake, wakiwa na vyeti vyao vya kumalizia masomo ya
Nursery wakati wa mahafali ya 10 ya skuli hiyo, mahafali yaliyofanyika katika
holi la Polisi Madungu Chake Chake.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
No comments:
Post a Comment