MWAKILISHI wa Jimbo la Wawi Bakar Hamad Bakar,
akimkabidhi mabuku mwanafunzi bora wa skuli ya Al-jitihad Nnisai Islamiya
Iliyopo Kichangani Wilaya ya Chake Chake, wakati wa mahafali ya kwanza ya skuli
hiyo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MWAKILISHI wa Jimbo la Wawi Bakar Hamad Bakar,
akizungumza na wazazi, walimu na wanafunzi wakati wa mahafali ya kwanza ya skuli
ya Al-jitihad Nnisai Islamiya iliyopo Kichungwani Wilaya ya Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
BAADHI ya wanafunzi ambao wamefania mitihani yao ya
kidato cha sita (6) mwaka huu, wakisubiria kuhitimu katika mahafali ya kwanza
ya skuli ya Al-jitihad Nnisai Islamiya iliyopo Kichungwani Wilaya ya Chake
Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment