Habari za Punde

Mbunge wa Viti Maalum CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Asiya Shariff Amekabidhi Vyarahani na Majora ya Vitambaa Kwa Vikundi cha Vijana Wilaya ya Wete Pemba.

BAADHI ya vyarahani waliokabidhiwa vijana wa ushoni Wilaya ya Wete vikiwa vimeshafungwa na kusubiri kufanya kazi, vyarahani hivyovimetolwa kupitia program ya ajira kwa vijana Pemba .
MBUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Kaskazini Pemba nafasi za Wanawake, Asiya Sharif akiahidi kusaidia majora 10 kwa kikundi hicho cha ushoni pamoja na viti vya kukalia, ili kuwatia nguvu vijana hao waweze kufanya kazi zao .
(Picha na Abdi Suleiman - PEMBA)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.