Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi Amefanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa Mitano ya Zanzibar.


1 comment:

  1. Kiukwel, toka a-anze kufanya uteuzi, wallah bado hajaharibu, yaani, safu inaendelea kuwa vyema,

    Wakaskazini Unguja, tumefurah sana kwa kuletewa RC ayoub, tunamjuwa kutokana na kazi zake, M/mungu aendelee kumpa hekima na busara Raisi wetu wa awamu ya 8, amiin��

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.