Habari za Punde

Waandishi wa Habari Pemba Wapata Mafunzo ya Kuandika Habari Za Amani

MWENYEKITI wa Klabu ya Waandishi wa habari Kisiwani Pemba (PPC) Bakar Mussa Juma, akifungua mafunzo ya siku moja kwa wanachama wa chama hicho, juu ya kuhamasisha masuala ya amani kwa wananchi, mafunzo hayo yametolewa na PPC kwa kushirikiana na shirika la Internews
ALIYEKUWA Afisa Mdhamini Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya kale Pemba Khatib Juma Mjaja, akiwasilisha mada juu ya Uwandishi wa habari za amani, kwa wanachama wa Klabu ya waandishi wa habari Pemba (PPC) mafunzo hayo yaliyofanyika mjini Chake Chake.

Mwandisghi wa habari muandamizi Kisiwani Pemba Ndg,. Kheri Juma Basha akichangia wakati wa mkutano wa mafunzo juu ya masuala ya amani kwa waandishi wa habari, mafunzo yaliyoandaliwa na PPC kwa kushirikiana na shirika la Internews.

(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.