Habari za Punde

Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Akiwa Katika Ziara Pemba Kutembelea Taasisi za Wizara zake

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Jamal Kassim Ali, akikagua jengo la Benk ya watu wa Zanzibar Tawi la Wete, wakati wa ziara yake ya siku mbili Kisiwani Pemba, huku akiwa wamefuatana na watendaji mbali mbali wa PBZ
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Jamal Kassim Ali, akizungumza na wafanyakazi wa wizara hiyo Ofisi ya Pemba, pamoja na kutoa maagizo mbali mbali kwa wafanyakazi hao,mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili Kisiwani hapa.

BAADHI ya wafanyakazi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Pemba, wakifuatilia kwa makini maagizo mbali mbali kutoka kwa Waziri wa Wizara hiyo, wakati alipokua akizungumza na wafanyakazi wake Pemba.

(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.