NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Habari Vijana Utamaduni
na Michezo Zanzibar Khamis Abdalla Said, akimuonyesha Katibu Tawala Wilaya ya
Micheweni Hassan Abdalla Rashid (katikati), baadhi ya mipaka ya uwanja wa mpira
wa Kishindeni Wilaya hiyo, mara baada ya kukabidhiwa rasmi uongozi wa Wilaya
kutoka Wizara ya habari, wa kwanza kushoto ni katibu Mkuu Wizara ya Habari
Vijana Utamaduni na Michezo Fatma Hamad Rajab.(PICHA NA HANIFA SALIM, PEMBA)
WAZIRI wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar
Tabia Maulid Mwita, akimueleza jambo mkuu wa Wilaya ya Micheweni Kepteni
Mohammed Mussa Seif, wakati wa makabidhiano ya uwanja wa mpira wa Kishindeni
Wilaya ya Micheweni, kutoka Wizara ya habari kwenda kwa uongozi wa Wilaya hiyo,
hafla iliyoshuhudiwa na katibu mkuu Wizara hiyo Fatma Hamad Rajab na Naibu
Katibu mkuu Khamis Abdalla Said.(PICHA
NA HANIFA SALIM, PEMBA)
No comments:
Post a Comment