Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi Adhuru Kaburi la Muasisi wa ASP na Mudiru wa Kwanza Zanzibar Marehemu Hasnu Makame na Rais Mstaaf wa Zanzibar Awamu ya Nne Marehemu Idrisa Abdulwakil wakati wa ziara yake Mkoa wa Kusinin Unguja.

RASI wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa.Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika Kijiji cha Mzuri Makunduchi kudhuru kaburi la Muasisi wa ASP Marehemu Hasnu Makame, aliyewahi kuwa Mudiri wa Kwanza Zanzibar na Waziri wa Afya , akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Kusini Unguja. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mzee wa Kijiji cha Mzuri Makunduchi Ramadhan Haji Simai akitowa maelezo ya Marehemu Hasnu Makame Muasisi wa ASP na Mudiri wa Kwanza Zanzibar, wakati wa ziara yake na kudhuri kaburi hilo na kumuombea dua akiwa na Viongozi wa CCM na Serikali.
Wananchi wa Kijiji cha Mzuri makunduchi wakiwa katika viwanja vya kaburi la Muaasisi wa ASP na Mudiru wa Kwanza Zanzibar Marehemu Hasnu Makame, wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi alipofika kwa ajili ya kumuombea Dua akiongozana na Viongozi wa CCM wa Mkoa wa Kusini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua pamoja na Wazee wa Kijiji cha Mzuri Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja wakiomuombea dua Marehemu Mzee Hasnu Makame,Muasisi wa ASP na Mudiru wa Kwanza Zanzibar pia aliwahi kuwa Waziri wa Afya, ,ikisomwa na Kadhi wa Wilaya ya Kusini Unguja Sheikh Ali Sharifu, wakati wa ziara yake Mkoa wa Kusini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua pamoja na Wazee wa Kijiji cha Mzuri Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja wakiomuombea dua Marehemu Mzee Hasnu Makame,Muasisi wa ASP na Mudiru wa Kwanza Zanzibar pia aliwahi kuwa Waziri wa Afya, ,ikisomwa na Kadhi wa Wilaya ya Kusini Unguja Sheikh Ali Sharifu, wakati wa ziara yake Mkoa wa Kusini Unguja. 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Alhaj Dk. Hussin Ali Mwinyi akiwa na Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi na Waziri wa Sheria Katiba Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman, wakiondoka katika viwanja vya Kaburi la Marehemu Mzee Hasnu Makame baada ya kumaliza kumuombea dua akiwa katika ziara yake Mkoa wa Kusini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakimsikiliza Katibu wa CCM Wilaya ya Kusini Unguja Ndg.Hafidh Mkadam Hassan,  wakati alipotembelea Ofisi za CCM Wilaya ya Kusini Unguja lililoteketea kwa moto hivi karibuni, akiwa katika ziara yake leo. 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiiza Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi, walipofika kutembelea Ofisi ya CCM ya Wilaya ya Kusini Unguja lililoungua moto hivi karibu, akiwa katika ziara yake Mkoa wa Kusini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia kwa Rais) Mama Mariam Mwinyi, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr.Abdalla Juma Mabodi, wakiondoka katika viwanja vya Ofisi ya CCM Wilaya ya Kusini Makunduchi ilioungua moto hivi karibuni.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ya kumuombea Rais Mstaaf wa Awamu ya Nne Marehemu Mzee Idrisa Abdulwakil, ikisomwa na Kadhi wa Wilaya ya Kusini Unguja Sheikh Ali Sharif, alipofika kulidhuri kaburi la Marehemu Kijiji kwao Makunduchi akiwa katika ziara yake Mkoa wa Kusini Unguja leo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ya kumuombea Rais Mstaaf wa Awamu ya Nne Marehemu Mzee Idrisa Abdulwakil, ikisomwa na Kadhi wa Wilaya ya Kusini Unguja Sheikh Ali Sharif, alipofika kulidhuri kaburi la Marehemu Kijiji kwao Makunduchi akiwa katika ziara yake Mkoa wa Kusini Unguja leo.30-1-2021.

1 comment:

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.