RASI
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati
Kuu ya CCM Taifa.Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika Kijiji cha Mzuri
Makunduchi kudhuru kaburi la Muasisi wa ASP Marehemu Hasnu Makame, aliyewahi kuwa Mudiri
wa Kwanza Zanzibar na Waziri wa Afya , akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa
Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mzee wa Kijiji cha Mzuri Makunduchi Ramadhan Haji Simai akitowa maelezo ya Marehemu Hasnu Makame Muasisi wa ASP na Mudiri wa Kwanza Zanzibar, wakati wa ziara yake na kudhuri kaburi hilo na kumuombea dua akiwa na Viongozi wa CCM na Serikali.
Wananchi wa Kijiji cha Mzuri makunduchi wakiwa katika viwanja vya kaburi la Muaasisi wa ASP na Mudiru wa Kwanza Zanzibar Marehemu Hasnu Makame, wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi alipofika kwa ajili ya kumuombea Dua akiongozana na Viongozi wa CCM wa Mkoa wa Kusini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua pamoja na Wazee wa Kijiji cha Mzuri Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja wakiomuombea dua Marehemu Mzee Hasnu Makame,Muasisi wa ASP na Mudiru wa Kwanza Zanzibar pia aliwahi kuwa Waziri wa Afya, ,ikisomwa na Kadhi wa Wilaya ya Kusini Unguja Sheikh Ali Sharifu, wakati wa ziara yake Mkoa wa Kusini Unguja.RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati
Kuu ya CCM Taifa Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua pamoja na Wazee wa
Kijiji cha Mzuri Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja wakiomuombea dua Marehemu
Mzee Hasnu Makame,Muasisi wa ASP na Mudiru wa Kwanza Zanzibar pia aliwahi kuwa Waziri wa Afya, ,ikisomwa na Kadhi wa Wilaya ya Kusini Unguja Sheikh Ali
Sharifu, wakati wa ziara yake Mkoa wa Kusini Unguja.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati
Kuu ya CCM Taifa Alhaj Dk. Hussin Ali Mwinyi akiwa na Mwakilishi wa Jimbo la
Makunduchi na Waziri wa Sheria Katiba Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali
Suleiman, wakiondoka katika viwanja vya Kaburi la Marehemu Mzee Hasnu Makame
baada ya kumaliza kumuombea dua akiwa katika ziara yake Mkoa wa Kusini Unguja
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati
Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi,
wakimsikiliza Katibu wa CCM Wilaya ya Kusini Unguja Ndg.Hafidh Mkadam
Hassan, wakati alipotembelea Ofisi za
CCM Wilaya ya Kusini Unguja lililoteketea kwa moto hivi karibuni, akiwa katika
ziara yake leo.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati
Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi
wakimsikiiza Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi,
walipofika kutembelea Ofisi ya CCM ya Wilaya ya Kusini Unguja lililoungua moto
hivi karibu, akiwa katika ziara yake Mkoa wa Kusini Unguja.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati
Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia kwa Rais) Mama Mariam Mwinyi,
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr.Abdalla Juma Mabodi, wakiondoka katika
viwanja vya Ofisi ya CCM Wilaya ya Kusini Makunduchi ilioungua moto hivi
karibuni.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati
Kuu ya CCM Taifa Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ya kumuombea Rais
Mstaaf wa Awamu ya Nne Marehemu Mzee Idrisa Abdulwakil, ikisomwa na Kadhi wa
Wilaya ya Kusini Unguja Sheikh Ali Sharif, alipofika kulidhuri kaburi la
Marehemu Kijiji kwao Makunduchi akiwa katika ziara yake Mkoa wa Kusini Unguja
leo.

leo.30-1-2021.
Sio kdhuru bali ni kuzuru
ReplyDelete