Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi akutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere

RAIS wa Zanzibar wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mhe.Joseph Butiku, wakati alipofika Ikulu kwa mazungumzo na Ujumbe wake waliokaa (kulia ) mazungumzo hayo yamefanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.,Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa baadhi ya Vitabu vya historia ya Mwalimu Julius Nyerere na Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere  Mhe.Joseph Butiku,  baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo,21-1-2021.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mhe. Joseph Butiku (kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo leo 21-1-2021.(Picha na Ikulu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.