RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi
akitikia dua iliyosomwa na Rais Mstaaf wa Zanzibar Alhaj Dkt.Salmin Amour Juma (kulia
kwa Rais) baada ya kumaliza mazungumzo yao
ya faragha wakati alipomtembelea nyumbani kwake Migombani Jijini
Zanzibar kumjulia hali .
MARRY CHATANDA :SERIKALI CHINI YA DK SAMIA IMEITEKELEZA VEMA ILANI 2020-2025
-
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
MRATIBU wa Uchaguzi Mkuu Mkoa wa Dar es Salaam Marry Chatanda amesema
Serikali inayoongozwa na Rais Dk.Samia Suluhu Hassan i...
10 hours ago

No comments:
Post a Comment