Habari za Punde

Uwekaji Jiwe la Msingi Ujenzi wa Maskani ya CCM Jojo Wete Pemba.

MBUNGE wa Viti maalumu Wanawake Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Asiya Sharif Omar, akizungumza na wanaCCM, Wananchi na Wazee wa kijiji cha Jojo Wilaya ya Wete (hawapo pichani)  wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Maskani ya CCM ya Dk.Ali Mohamed Shein iliyopo Jojo Wilaya ya Wete

MBUNGE wa Viti Maalumu Wanawake Mkoa wa Kaskazini Pemba Asiya Sharif Omar, akikunjua kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi Maskani ya CCM ya Dk.Ali Mohamed Shein iliyopo Jojo Wilaya ya Wete.

(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.