Habari za Punde

Waheshimiwa wakisherehekea kombe la Mapinduzi


 Waziri wa Habari na michezo Mh. Tabia Maulid Mwita akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Rc Idrissa Kitwana Mustafa wakishikilia kombe la Mapinduzi, ambalo hivi karibuni limechukuliwa na mabingwa wapya Timu ya Yanga yenye maskani yake Jijini Dar es Salaam.


Ikumbukwe kuwa Mheshimiwa Tabia na RC Kitwana ni mashabiki wakubwa wa 'Dar Young Africans '

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.