Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao cha kazi kati yake na Gavana wa Benki Kuu, Wakurugenzi wa Benki za NBC, NMB,CRDB, TPB, TADB, AZANIA, TIB pamoja Mifuko ya NSSF na PSSSF kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Januari 18, 2021. Kikao hicho pia kulihudhuriwa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge na Waziri Mkuu),Tixon Nzunda. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment