Habari za Punde

Balozi wa Tanzania Nchini Marekani Atembelea Ofisi za Tume ya Uchaguzi Jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dk. Wilson Mahera Charles (kushoto), akimweleza jambo Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Balozi Wilson Masilingi  wakati Balozi huyo alipotembelea Ofisi za Tume zilizopo Njedengwa jijini Dodoma leo 11 Februari 2021. Balozi Masilingi aliipongeza Tume na Serikali kwa kuweza kujenga Ofisi zake na kusimamia vyema Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28,2020 kwa kutumia fedha zake yenyewe
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dk. Wilson Mahera Charles (kushoto), akifafanua jambo kwa  Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Balozi Wilson Masilingi  wakati Balozi huyo alipotembelea Ofisi za Tume zilizopo Njedengwa jijini Dodoma leo 11 Februari 2021. Balozi Masilingi aliipongeza Tume na Serikali kwa kuweza kujenga Ofisi zake na kusimamia vyema Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28,2020 kwa kutumia fedha zake yenyewe. (Picha na Mroki Mroki – NEC).
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.