Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi Ajumuika Waumini wa Kiislam Katika Dua na Sala ya Kumuombea Marehemu Sayyid Hussein Badawy Iliofanyika Masjid Mushawar Muembeshauri leo Jijini Zanzibar Baada ya Sala ya Ijumaa.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Muchawar Muembeshau Jijini Zanzibar leo na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi na Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja Mhe. Rashid Simam Msaraka na (kushoto kwa Rais) Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi, Mkuuwa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana na Katibu Ofisi ya Mufti Mkuu Sheikh Abdalla Talib. wakiitikia dua.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam Zanzibar katika Sala na Dua ya kumuombea Mwanachuoni Mkubwa Afrika Mashariki na Kati Marehemu Shariff Sayyid Hussein Badawy, iliofanyika katika Masjid Mushawar Muembeshauri Jijini Zanzibar, ikiongozwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa. 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi  na Waumini wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakiitikia dua ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa, kumuombea Marehemu Mwanachuoni Mkubwa Afrika Mashariki na Kati Sheikh Sayyid Hessein Badawy, iliofanyika katika Masjid Mushawar Muembeshauri Jijini Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Wilaya ya Mjini Mhe. Rashid Simai Msaraka na (kushoto kwa Rais) Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana
WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakiitikia dua ya kumuombea Marehemu Sayyid Hussein Badawy baada ya kumalizika Sala ya kumuombea iliofanyika katika Masjid Mushawr Muembeshauri Jijini Zanzibar.
MWAKILISHI wa Familia ya Marehemu Mwanachuoni Mkubwa Afrika Mashariki na Kati Sayyid Hussein Badawy, ikiwasilishwa na Mwanafamilia Sayyid Mohammed Omar Al Sheikh (Judda) wakati wa hafla ya kumuombea dua baada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Mushawar Muembeshauri Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi  akifuatilia historia Marehemu Mwanachuoni Mkubwa Afrika Mashari na Kati  Sayyid Hessein Badawy ikitolewa na mwakilishi wa familia Sayyid Mohamed Al Sheikh (Juda) wakati wa hafla ya kumuombea Dua na Kumsalia iliofanyika katika Masjid Mushawr Muembeshauri Jijini Zanzibar.
MUFTI Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akizungumzia historia yake wakati wa hafla ya kisomo cha dua na kumsalia Marehemu Mwanachuoni Mkubwa Afrika Mashariki na Kati Sayyid Hussein Badawy , iliofanyika katika Masjid Muchawar Muembeshauri Jijini Zanzibar na (kulia) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana
MUFTI Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akisisitiza jambo wakati akizungumzia historia yake wakati wa hafla ya kisomo cha dua na kumsalia Marehemu Mwanachuoni Mkubwa Afrika Mashariki na Kati Sayyid Hussein Badawy , iliofanyika katika Masjid Muchawar Muembeshauri Jijini Zanzibar na (kulia) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana.
Waumini wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakifuatilia hafla ya Kisomo cha Dua ya kumuombea Mwanachuoni Mkubwa Afrika Mashariki na Kati Sayyid Hussein Badawy iliofanyika katika Masjid Mushawar Muembeshauri Jijini Zanzibar.
KATIBU wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume akiwasailisha salamu za Rais Mstaaf wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Alhaj Ali Hassan Mwinyi, wakati wa hafla ya kumuombea dua Mwachuoni Mkubwa Afrika Mashariki na Kati Marehem Sayyid Hussein Badawy, iliofanyika katika Masjid Mushawr Muembeshauri Jijini Zanzibar
Waumini wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakifuatilia hafla ya Kisomo cha Dua ya kumuombea Mwanachuoni Mkubwa Afrika Mashariki na Kati Sayyid Hussein Badawy iliofanyika katika Masjid Mushawar Muembeshauri Jijini Zanzibar.
Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Abdalla Talib akisoma dua baada ya kumalizika kwa dua na Sala ya kumuombea Mwanachuoni Mkubwa Afrika Mashariki na Kati Marehemu Sayyid Hussein Badawy iliofanyika katika Masjid Mushawar Muembeshauri Jijini Zanzibar leo. baada ya Sala ya Ijumaa.

 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Viongozi wa Dini baada ya kumalizika kwa Dua ya kumuombea Mwachuoni Mkubwa Afrika Mashariki Sayyid Hussein Badawy, iliofanyika katika Masjid Mushawr Muembeshauri Jijini Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.