Habari za Punde

Kuwasilishwa Kwa Jina la Mteule Makamu wa Rais Tanzania Bungeni leo

Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akipokea bahasha kutoka kwa  Mpambe  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan yenye jina la Makamu wa Rais Mteule, Bungeni jijini Dodoma, Machi 30, 2021.
Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akisoma jina la Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mteule, Dkt. Philip Mpango, Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya Spika wa Bunge, Job Ndugai kusoma jina la Dkt.  Philip Mpango kuwa ndiye Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mteule, Bungeni jijini Dodoma,
 Makamu wa Rais Mteule, Dkt. Philip  Mpango akiwashukuru wabunge baada ya Bunge kuthibitisha uteuzi wake, Bungeni jijini Dodoma,
 Makamu wa Rais Mteule, Dkt. Philip  Mpango akiwashukuru wabunge baada ya Bunge kuthibitisha uteuzi wake, Bungeni jijini Dodoma,Machi 30, 2021.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.