Habari za Punde

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AHUTUBIA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAGONJWA ADIMU DUNIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimtunuku Tuzo Ndugu. Ally Khamis Juma Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar kwa Niaba ya  Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar kwa kutambua mchango wake  uliotukuka katika kusaidia Ustawi wa Watoto wenye Magonjwa Adimu, wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Magonjwa Adimu Duniani yaliyoandaliwa na Taasisi ya Kimara Foundation, leo Febuari 28,2021 katika Ukumbi wa Serena Jijini Dar es salaam. Ambapo kauli mbiu ya Maadhimisho ya Mwaka huu Siku ya Magonjwa Adimu ni "Usawa kwa Waishio na Magonjwa Adimu".
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimtunuku Tuzo Getrude Elias Maruma Mwanafunzi wa Chuo cha IFM kwa kuweza kujitokeza Hadharani kuelezea juu ya tatizo la  Ugonjwa Adimu aliouopa, wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Magonjwa Adimu Duniani yaliyoandaliwa na Taasisi ya Kimara Foundation, leo Febuari 28,2021 katika Ukumbi wa Serena Jijini Dar es salaam. Ambapo kauli mbiu ya Maadhimisho ya Mwaka huu Siku ya Magonjwa Adimu ni "Usawa kwa Waishio na Magonjwa Adimu"
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimtunuku Tuzo Mhe. Faustine Ndungulile Waziri wa Sayansi na Teknolojia ya Habari kwa kutambua mchango wake  uliotukuka katika kusaidia Ustawi wa Watoto wenye Magonjwa Adimu, wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Magonjwa Adimu Duniani yaliyoandaliwa na Taasisi ya Kimara Foundation, leo Febuari 28,2021 katika Ukumbi wa Serena Jijini Dar es salaam. Ambapo kauli mbiu ya Maadhimisho ya Mwaka huu Siku ya Magonjwa Adimu ni "Usawa kwa Waishio na Magonjwa Adimu".
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Taifa kwenye Maadhimisho ya siku ya Magonjwa Adimu Duniani yaliyoadhimishwa leo Febuari 28,2021 katika Ukumbi wa Serena Jijini Dar es salaam. Ambapo kauli mbiu ya Maadhimisho ya Mwaka huu Siku ya Magonjwa Adimu ni "Usawa kwa Waishio na Magonjwa Adimu".


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.