Habari za Punde

Mbunge wa viti Maalum kupitia UWT afanya ukarabati Skuli ya Msingi ya Fuoni A

Msaidizi Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Fuoni Msingi “A” Abdul-wahabi Ali Khamis akitoa shukurani kwa Mbunge wa Viti Maalum (UWT) (watatu kulia) Mkoa wa Magharib Kichama Amina Idi Mabrouk baada ya kufanya ukarabati ndani ya   madarasa yaliyochimbika katika Skuli hiyo.

Mbunge wa Viti Maalum (UWT)Mkoa wa Magharib Kichama Amina Idi Mabrouk akiwapongeza Walimu wa Skuli ya Fuoni Msingi “A” kwa kumpa mashirikiano yakufanya ukarabati ndani ya madarasa yaliyochimbika katika Skuli hiyo.

Mwalimu kutoka Skuli ya Fuoni Msingi “A” Asha Abdallah Hatibu akielezea Changamoto wanazokumbana nazo wakati wa kusomesha Wanafunzi .
Mwanafunzi wa Skuli ya Fuoni Msingi “A” Warda Juma akizungumza kuhusu Matatizo yanayowakabili katika Skuli hiyo

Baadhi ya Wanafunzi wa Skuli ya Fuoni Msingi “A” wakiwa katika Picha ya pamoja na Mbunge wa Viti Maalum (UWT)Mkoa wa Magharib Kichama Amina Idi Mabrouk katika Skuli hiyo.

Picha na Maryam Kidiko – Maelezo Zanzibar.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.