WAANDISHI wa habari wa shirika la Magazeti ya
Serikali Zanzibar Ofisi ya Pemba, Zuhura Juma Said (kulia)na Mariyam Salim
Habibu, wakifanya mazoezi jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii, kwa kusambaza
habari mbali mbali zinazowahusu wanawake, mafunzo hayo yaliyoandaliwa na TAMWA
Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKUFUNZI wa Masuala ya Uwandishi wa habari kwa
kutumia mitandao ya Kijamii, akitoa maelekezo kwa vitendo jinsi ya kuweka
habari zao hususan za wanawake katika mitandao ya kijamii, katika mafunzo ya
siku mbili yaliyoandaliwa na TAMWA PEMBA.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment