WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais,
Dk.Saada Mkuya Salum, akimsikiliza kwa makini Mratib wa Tume ya Kitaifa ya
kuratibu na udhibiti wa dawa za kulevya Pemba Omar Juma Mbarouk, mara baada ya
kuwasili katika ofisi hizo chake chake katika ziara yake ya kwanza Kisiwani
Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
AFISA Mdhamini Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais,
Ahmed Aboubakar Mohamed akitoa maelezo kwa waziri wa Nchi Ofisi hiyo Saada Mkuya
Salum, wakati alipotembelea ofisi ya Tume ya kitaifa ya kuratib na udhibiti wa
dawa za kulevya Pemba, ikiwa ni ziara yake ya kwanza kisiwani hamo baada ya
kuteuliwa kwake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA)
No comments:
Post a Comment