Habari za Punde

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa afungua mkutano wa Wabunge wote, kuhusu uwasilishwaji wa mpango na ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021 / 2022

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano wa Wabunge wote, kuhusu uwasilishwaji wa mpango na ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021 / 2022, katika ukumbi wa Msekwa, Bungeni jijini Dodoma, Machi 11, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai akitoa maelezo ya utangulizi kabla ya kufunguliwa kwa mkutano wa Wabunge wote, kuhusu uwasilishwaji wa mpango na ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021 / 2022, katika ukumbi wa Msekwa, Bungeni jijini Dodoma, Machi 11, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango, akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021 / 2022, katika ukumbi wa Msekwa, Bungeni jijini Dodoma, Machi 11, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakimsikiliza Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango, wakati akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021 / 2022, katika ukumbi wa Msekwa, Bungeni jijini Dodoma, Machi 11, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.