Habari za Punde

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais aendelea na ziara ya kujitambulisha Kusini Pemba

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba Yussuf Ali Juma, akitoa neno la shukurani kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Dk.Sada Mkuya Salum baada ya kufika katika ofisi hizo kujitamnbulisha kwake, pichani akitia saihihi kitabu cha wageni wakati akiwa katika ziara yake Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

 MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mattar Zahor Massoud akizungumza na waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar Dk.Sada Mkuya Salumu, akiwa na watendaji wa Ofisi yake Unguja na Pemba, kwa ajili ya kujitambulisha kwa mkuu huyo wa mkoa juu ya uwepo wake Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.