MWAKILISHI wa Kuteuliwa Viti maalumu kupitia wasomi
Lela Mohamed Mussa, ambae pia ni waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar
(wa kwanza kulia) akikabidhi msaada wa Vitu mbali mbali zikiwemo mbao, saruji,
Taizi na Jipsamu Bod kwa mwalim Mkuu wa Skuli ya Madungu Sekondari Mohamed
Shamte Omar (wapili kuli), akiwa maefuatana na watendaji mbali mbali wa CCM.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
BAADHI ya wanafunzi wa skuli ya Madungu Sekondari
wakimsikiliza kwa makini, Mwakilishi wa kuteuliwa Viti maalumu kupitia wasomi
Lela Mohamed Mussa, wakati alipokua akizungumza nao na kukabidhi vifaa mbali
mbali kwa ajili ya ujenzi wa dahalia la wanafunzi wa skuli hiyoo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MWAKILISHI wa Kuteuliwa Viti maalumu kupitia wasomi
Lela Mohamed Mussa, ambae pia ni waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar,
akizungumza na wanafunzi wa skuli ya Madundu Sekondari, kabla ya kukabidhi
msaada wa vitu mbali mbali kwa skuli hiyo.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment