Habari za Punde

Matukio ya Picha Kutoka Bungeni Jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Sumbawanga Mjini, Aeshi Hillaly, Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, Bungeni jijini Dodoma
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Kilimo, Hussen Bashe kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mlalo, Rashid  Shanagazi (kulia) na Mbunge wa Muheza, Hamis Mwinjuma (Mwana FA), kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 8, 2021.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.