MJUMBE wa Kamati Tekelezaji CCM Wilaya ya Chake Chake Mariyam Said Khamis (katikati), akikabidhi mbao kwa viongozi wa Skuli ya Msingi Ngombeni B Wilaya ya Mkoani, msaada huo umetolewa na Mbunge wa Jimbo la Mkoani Profesa Makame Mnyaa Mbarawa
MJUMBE wa Kamati Tekelezaji CCM Wilaya ya Chake Chake Mariyam Said Khamis (wa kwanza kulia), akikabidhi Bati kwa viongozi wa Skuli ya Msingi Ngombeni B Wilaya ya Mkoani, msaada huo umetolewa na Mbunge wa Jimbo la Mkoani Profesa Makame Mnyaa Mbarawa.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
No comments:
Post a Comment