Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi Amejumuika na Wananchi katika Maziko ya Marehemu Salum Zahor Kijiji cha Mwera.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akimfariji na kutowa mkono wa pole kwa Mtoto wa Marehemu Salum Zahro, Zahro Salum, alipowasili katika msikiti wa Ijumaa Mwera kuhudhuria maziko hayo yaliofanyika kijijini hapo.  

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Sala ya kusalia jeneza likiwa na mwili wa Marehemu Salum Zahro, ikiongozwa na Mtoto wa Marehemu Bw.Zahoro Salum, iliofanyika katika Msikiti wa Mwera 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume, baada ya kumalizika Sala ya kuusali mwili wa Marehemu Salum Zahor, iliofanyika katika msikiti wa Mwera 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiweka mchanga katika kaburi likiwa na mwili Marehemu Salum Zahro, wakati wa maziko hayo yaliofanyika katika Kijiji cha Mwera Wilaya Magharibi A Unguja. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.