Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi Amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Katika Mkutano wa SADC Maputo Nchini Msumbiji.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika mkutano wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) unaozungumzia Masuala ya Ulinzi na Usalama wa Nchi za Jumuiya hiyo uliofanyika Maputo Nchini Msumbiji akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, ukingozwa na Mwenyekiti wake Rais wa Msumbuji Mhe Fellipe  Jacinto Nyusi.(Picha na Ikulu)


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika mkutano wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) unaozungumzia Masuala ya Ulinzi na Usalama wa Nchi za Jumuiya hiyo uliofanyika Maputo Nchini Msumbiji akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, ukingozwa na Mwenyekiti wake Rais wa Msumbuji Mhe Fellipe  Jacinto Nyusi.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.