Habari za Punde

Makamu wa Rais Dkt.Mpango Akutana na Kuzungumza na Waziri wa Fedha na Mipango

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Mwigulu Nchemba, wakati Mhe. Mwigulu alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Mei 04,2021.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.