Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Ngelela Maganga (watatu kushoto) akiwa ameambatana na Naibu Katibu Mkuu Bw. Mohammed Khamis Abdulla (kulia) wakiwa katika ziara ya kutembelea soko la samaki Tumbe ambalo kupitia Mradi wa Uvuvi na Maendeleo Shirikishi Kusini Magharibi ya Bahari ya Hindi (SWIOFish) lililopoMkoawaKusiniwalipofanyaziara Pemba.
KatibuMkuuOfisiyaMakamuwaRais Bi. Mary NgelelaMaganga
(watatukulia) akisikilizamaelezokutokakwamtaalamuwauvuviwakatiwaziarayakutembeleasoko
la
samakiTumbeambalokupitiaMradiwaUvuvinaMaendeleoShirikishiKusiniMagharibiyaBahariya
Hindi (SWIOFish) lililopoMkoawaKusiniwalipofanyaziara Pemba.
KatibuMkuuOfisiyaMakamuwaRais Bi. Mary NgelelaMaganga
(watatukulia)
akisikilizamaelezokutokakwamtaalamuwakilimowakatiwaziarayakutembeleabonde la
mpunga la Ole
lililopoMkoawaKusinikupitiaMradiwaKuongezaTijanaUzalishajiwaMpunga (ERPP)
alipofanyaziara Pemba.
KatibuMkuuOfisiyaMakamuwaRais Bi. Mary
NgelelaMagangaakizungumzanaMkuuwaMkoawaKusiniMhe.
MattarZahourMasoudalipomtembeleaofisinikwakekablayakuanzaziarayakutembeleabonde
la mpunga la Ole
lililopoMkoawaKusinikupitiaMradiwaKuongezaTijanaUzalishajiwaMpunga (ERPP).
Sehemuyabonde la mpunga la Ole
lililopoMkoawaKusinikupitiaMradiwaKuongezaTijanaUzalishajiwaMpunga
(ERPP)ambalolimetembelewanaujumbewaKatibuMkuuOfisiyaMakamuwaRais Bi. Mary
NgelelaMaganga.
MkuuwaMkoawaKaskaziniMhe. SalamaMbaroukKhatibakitoaneno
la shukranikwaujumbewaKatibuMkuuOfisiyaMakamuwaRais Bi. Mary
NgelelaMagangauliofanyaziarakatikamkoahuowilayaniWetekwaajiliyakutembeleasoko
la
samakiTumbeambalokupitiaMradiwaUvuvinaMaendeleoShirikishiKusiniMagharibiyaBahariya
Hindi (SWIOFish).
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Ngelela Maganga na Naibu Katibu Mkuu Bw. Mohammed Khamis Abdulla wakiwa katika picha ya pamoja na wataalamu kutoka Wizara ya Uvuvi ya Zanzibar na wavuvi katika soko la samaki Tumbe ambalo kupitia Mradi wa Uvuvi na Maendeleo Shirikishi Kusini Magharibi ya Bahari ya Hindi (SWIO Fish) lililopo Mkoa wa Kusini walipofanya ziara Pemba.
No comments:
Post a Comment