Habari za Punde

Matukio ya Picha Kutoka Bungeni Jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Profesa  Adelardus  Kilangi Bungeni jijini Dodoma,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Balozi Liberata Mulamula, Bungeni jijini Dodoma
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akizungumza na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira,  Patrobas Katambi, Bungeni jijini Dodoma
                                                       (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.