Mama ambaye jina lake halikupatikana akisuka ukili katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mdogo katika Jimbo la Buhigwe Mkoani Kigoma ulioongozwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Buhigwe, Mei 5, 2021.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment