Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi Amejumuika Katika Sala ya Tarawekh Iliofanyika katika Masjid Al Rahmaan Gombani Pemba.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Tarawekh iliofanyika katika Masjid Al-Rahmaan Gombani Chakechake Kisiwani Pemba
WANANCHI wa Gombani Chakechake Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Sala ya Tarawekh, iliofanyika katika Masjid Al Rahmaan Gombani Chakechake Kisiwani Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Wananchi wa Gombani Chakechake Pemba baada ya kumalizika kwa Sala ya Tarawekh, iliofanyika katika Masjid Al Rahmaan Gombani

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.