Habari za Punde

SIMBACHAWENE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KUSIMAMIA, KUDHIBITI NA KURATIBU MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KWA ROBO TATU YA MWAKA 2020/2021

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akiongoza Kikao cha Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato ya Wizara hiyo kwa Kipindi cha Robo Tatu ya Mwaka 2020/2021 kinachofanyika leo,jijini Dodoma
Mkurugenzi wa Sera na Mipango ,Wanja Mtawazo akizungumza katika  Kikao cha Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi  kwa Kipindi cha Robo Tatu ya Mwaka 2020/2021 kinachofanyika leo,jijini Dodoma.
Naibu Kamishna wa Polisi, Lucas Mkondya akizungumza katika  Kikao cha Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi  kwa Kipindi cha Robo Tatu ya Mwaka 2020/2021 kinachofanyika leo,jijini Dodoma
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza,Suleiman Mzee akizungumza katika  Kikao cha Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi  kwa Kipindi cha Robo Tatu ya Mwaka 2020/2021 kinachofanyika leo,jijini Dodoma.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, John  Masunga akizungumza katika  Kikao cha Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi  kwa Kipindi cha Robo Tatu ya Mwaka 2020/2021 kinachofanyika leo,jijini Dodoma
Katibu wa Kamati, Jenita Ndone  akizungumza katika  Kikao cha Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi  kwa Kipindi cha Robo Tatu ya Mwaka 2020/2021 kinachofanyika leo,jijini Dodoma
Mchumi Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Wilson Gwoma akizungumza katika  Kikao cha Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi  kwa Kipindi cha Robo Tatu ya Mwaka 2020/2021 kinachofanyika leo,jijini Dodoma.
                            Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.