Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Hurumzi wakiwa katika mapunziko ya asubuhi baada ya kumaliza Mitihani yao ya majaribio na kujisomea kwa kujiandaa na mtihani wa Kiswahili baada ya mapunziko wakiwa nje ya jengo la skuli hiyo kama walivyokutwa na mpiga picha weti akiwa katika mizunguko ya mitaani.
TET NA TANZANIA AI COMMUNITY KUSHIRIKIANA KUBORESHA UFUNDISHAJI KWA
TEKNOLOJIA YA AI
-
TAASISI ya Elimu Tanzania (TET) imepanga kufanya mafunzo ya kukuza uwezo
kwa wakuza mitaala na walimu nchini kwa kutumia Akili Mnemba (AI) ili
kukuza ufani...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment