Habari za Punde

Mabondia wa Zanzibar Watinga Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar

Mwakilishi wa Jimbo la Chwaka Mhe. Issa Ussi Gavu akiwa katika picha na Mabondia ngumi wa Zanzibar walipofika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani kuangalia shughuli za Baraza zinavyoendesha  na kupata fursa kupika picha na baadhi ya Wajumbe wa Baraza nje ya  ukumbi wa mkutano, wakiwa ni wageni wa Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae Mhe. Shaban Ali Othman.

Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja na Mabondia wa Zanzibar walipofika katika ukumbi wa Baraza kujionea shughuli za mkutano wa Baraza zinavyoendesha na Spika wa Baraza, wakiwa ni wageni wa Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae Zanzibar Mhe. Shaban Ali Othman mwenye mkoanda wa Ubingwa.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.