RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein
Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Abdalla Juma
Mabodi alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui kuhudhuria
Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika leo
19-6-2021
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui kuhudhuria Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri ya CCM Zanzibar, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Abdalla Juma Mabodi na Viongozi wengine wa CCM.
WAJUMBE wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya
CCM Zanzibar wakisoma makabrasha ya Kikao kabla ya kuaza kilichoongozwa na
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk., Ali Mohamed Shein,. katika ukumbi wa
Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar
WAJUMBE wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya
CCM Zanzibar wakisoma makabrasha ya Kikao kabla ya kuaza kilichoongozwa na
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk., Ali Mohamed Shein,. katika ukumbi wa
Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein
Ali Mwinyi na (kushoto kwake) Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar
Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na (kulia kwake) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri
Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed
Suleiman Abdulla, wakiwa wamesimama baada ya kuwasili katika ukumbi wa Kikao
cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika
ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar
Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakiwa wamesimama wakati wa kuwasili kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Mstaaf Dk.Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) katika ukumbi wa mkutano Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Balaza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe Hemed Suleiman Abdulla (kulia kwac Rais) wakichukua makabrasha yao kabla ya kuaza kwa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Abdalla
Juma Mabodi akisoma ajenda ya Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM
Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini
Zanzibar na (kulia kwake) Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk. Ali
Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia
ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali
Mwinyi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Hemed
Suleiman Abdulla
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi
Zanzibar (CCM) Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akiongoza Kikao
cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika katika
ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar leo 19-6-2021. na (kulia
kwake) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashuri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi
na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Hemed Suleiman
Abdulla
No comments:
Post a Comment